Mwanamfalme wa Saudi Arabia Prince Mohammed bin Salman anatarajiwa kukutana na wamiliki wa Manchester United familia ya Glazer wiki chache zinazokuja, kuwasilisha ofa ya dola bilioni 4 kuinunua klabu hiyo. (Mirror)
ngoja wenyewe waje waichangamkie fursa, mzee atakapouliza huyu aliyewekwa kwenye screen ni nani?I want a girlfriend who will put me as a wallpaper on her dad's phone.