D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Mmh mbona nasikia sanchez alipwa 500Chelsea wanataka kumfanya Eden Hazard kuwa mchezaji anayelipwa kitita cha juu zaidi katika Ligi ya Premier kwa kumpa ofa ya mshahara wa dola 350.000 kwa wiki. (Express)