ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Uuuwiii nipo Arusha...Utakileta Dec xmass basi.
Mimi ni mtu wa Dar es Salam ndugu yangu, Christmas yangu Masaki!
Ukija Dar karibu sana mbe kanyi walahi
Uuuwiii nipo Arusha...Utakileta Dec xmass basi.
Kulikuwa na soft copy inazunguka ila nadhani watu walikatazana kuisambaza tena kwa niaba ya maslahi ya mwandishi na mchapishaji. Ukigugo unaweza kuibahatisha mahalaWhere can i get it?
Hahaaa ni mm mlipotea muda sana kuna logistics nlikua napambana nazo.Ilibidi nifungue new ID Sis....Hope you are doing fine.
Ni mm chief.I am back again with new ID.Ni mengi yalitokea mkuu.Mkuu. Ni Papaa Bilionea Mark Msue huyu au mwingine?
Karibu tena kamanda...Ni mm chief.I am back again with new ID.Ni mengi yalitokea mkuu.
Alhamdulillah kwakweli,namshukuru MunguUkiufungua tu nitonye [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema?
Ndo zangu hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Si ajabu inakuhusu hii [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]