Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meneja wa Newcastle Rafael Benitez, ambaye kikosi chake kiko chini katika jedwali la Premier League, anakiri kuwa anaishiwa na muda huko St James' Park. (Daily Mirror)
 
Borussia Dortmund, waliomchukua mchezaji wa miaka 18 Jadon Sancho kwenda Bundesliga wanamtazama lkiungo wa kati wa Manchester City Phil Foden, 18, mshambuliajia wa Chelsea Hudson-Odoi, 17, na mshambuliaji wa miaka 17 wa Liverpool Bobby Duncan. (Daily Mirror)
 
Kiungo wa kati wa Paris St-Germain Adrien Rabiot, 23, ambaye amehusishwa na Liverpool na pia Juventus, anaripotiwa kukaribia kuongeza mkataba wake na klabu hiyo wa Ufaransa. (Calciomercato)
 
Meneja wa Leicester Claude Puel anasema hafikirii kumuita kiungo wa kati Harvey Barnes, 20, ambaye yuko kwenye mkopo huko West Brom. (Birmingham Mail)
 
Meneja wa Leicester Claude Puel anasema hafikirii kumuita kiungo wa kati Harvey Barnes, 20, ambaye yuko kwenye mkopo huko West Brom. (Birmingham Mail)
 
Tottenham hunda wakafungua duka lao jipya ambalo linatarajiwa kuwa duka kubwa la klabu barani Ulaya kwenye uwanja wao mpya siku ya Jumanne. (Football London)
 
Tottenham huanda wakafungua duka lao jipya ambalo linatarajiwa kuwa duka kubwa la klabu barani Ulaya kwenye uwanja wao mpya siku ya Jumanne. (Football London)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…