Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amemshambulia kwa maneno mwamuzi, Mike Dean kuhusu utunzani wa muda wake kwenye mechi ya sare ya 2-2 dhidi ya Chelsea Uwanjani Stamford Bridge.
Man United walipokoswa ushindi wao maarufu nyumbani kwa Chelsea baada ya bao la kusawazisha la dakika 97 lililofungwa na Ross Barkley kuwafanya wenyeji wa mechi hiyo ya Ligi Kuu England kupata pointi moja na kushikilia rekodi yao ya kutopoteza mechi hadi sasa.