Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mlinzi wa Juventus Leonardo Bonucci, 31, alisema angejiunga na wapinzani wa siku ya Jumanne Manchester United kutoka AC Milan msimu uliopita lakini akaamua kurejea klabu hiyo ya Italia. (Telegraph
 
Kiungo wa kati wa Spurs Erik Lamela, 26, ambaye alirudi mwezi Novemba baada ya miei 13 nje kufuati jeraha amekiri kuwa hawezi kufanya mazoezi kwa kiwango kinachohitajika na hajua atacheza mara ngapi. (London Evening Standard)
 
Kiungo mwingine wa kati wa Tottenham, Moussa Sissoko, anasema alifahamua kuwa wachezaji wote na wafanyanakazi walikuwa wanamuunga mkono wakati wa nyakati ngumu ambapo alikosolewa kila mara na mashabiki. (ESPN)
 
Man Utd XI: De Gea, Young (C), Lindelof, Smalling, Shaw, Mata, Matic, Pogba, Rashford, Lukaku, Martial.

Subs: Romero, Bailly, Darmian, Fred, Pereira, Herrera, Chong.

Juventus XI: Szczęsny, Chiellini (C), Pjanić, Ronaldo, Dybala, Sandro, Matuidi, Cuadrado, Bonucci, Cancelo, Bentancur.
✔
 
tapatalk_1540302704548.jpeg
 
Back
Top Bottom