Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

C3120685-F36B-4B12-B810-BBBDE2E3DFB0.png
 
UJUMBE WA LEO

Mathayo 6: 14

*"Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi."*

Kusamehe ni tendo la kuhesabu kuwa hujakosewa hata kama umekosewa. Kwa mujibu wa Neno hili, tendo la msamaha ni faida kwa anayesamehe pia.

Kumbe tunapowawekea kinyongo waliotukosea tunafunga mlango wa sisi kusamehewa na MUNGU pale tunapokosea. *(Rejea Sala ya Bwana)*

Mpendwa, MUNGU akupe neema ya kutazama neno msamaha kwa jicho jipya .

MUNGU AKUBARIKI
 
Back
Top Bottom