Kumbe halitakua accessible kwa madereva wote?Unaruhusiwa kuendesha gari darajani?
La hasa. Ndipo uweze kuendesha gari lako kwenye daraja hilo, unahitaji kibali maalum, ambacho kitakuwa vinatolewa kwa watu kwa vipimo.
Aidha, magari yote yatalipa ada kuruhusiwa kutumia daraja hilo.
Katika hilo halijafunguliwa kutumiw ana magari ya uchukuzi wa umma, hivyo ni mabasi ya kibinafsi ambayo yatakuwa yanawasafirisha watu.