myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
poleni mlio kwenye daladala
Wanasema marehemu alikuwa pia jasusi aliyekuwa akitumiwa na serikali ya Uturuki pamoja na Wamarekani ili kuwashambulia wasaudia kwa kofia ya uandishi wa habari. Wasaudia wakaamua kukata mzizi wa fitina kinyama tena kishamba kabisa. Waturuki wametafuta mabaki yake porini hawajapata kitu na sasa inasemekana wamemkata kata vinyama wakaviyeyusha kwenye tindikali na mifupa yake wakaisaga...assassination the Saudis way...Very sad !!!Taifa limejaa utata hilo
Rufiji river besin, Behobeho River Matambwe, Selous game reserve MorogoroView attachment 909264
safiiWamimbiki MorogoroView attachment 909270