Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Taifa limejaa utata hilo
Wanasema marehemu alikuwa pia jasusi aliyekuwa akitumiwa na serikali ya Uturuki pamoja na Wamarekani ili kuwashambulia wasaudia kwa kofia ya uandishi wa habari. Wasaudia wakaamua kukata mzizi wa fitina kinyama tena kishamba kabisa. Waturuki wametafuta mabaki yake porini hawajapata kitu na sasa inasemekana wamemkata kata vinyama wakaviyeyusha kwenye tindikali na mifupa yake wakaisaga...assassination the Saudis way...Very sad !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…