@judithjohnntani
3 hours ago
Watoto wa maskini wana akili sana na wanasema kwa uchungu lakini chakushangaza wakijakupata kazi wengi wao hawana muda wakuwasaidia wazazi wao/ ndugu zao wanajisahau araka sana mfano mzuri ninao mwenyew anko wangu kasomeshwa kwa shida sana bibi yng alihangaika sana uku na kule vibarua kila aina alihakikisha mwanae anasoma mungu akamsaidia alipomaliza chuo akapata kazi alikuwa muhasibu wa magereza chakushangaza hajawah kumsaidia bibi wala ndugu zake pesa zake anatumia yeye na wanae watu wakaanza kulalamika wala hajali mbaya zaidi wajomba zake wamesoma lakini ata kuwatafutia kaz ataki yeye kaz yake ni kuwatafutia kaz watu bake ila mungu wa sasa anajibu maombi yetu mwaka juzi kastaafu akapata pesa kama zote ivi niongeapo ata mia hana na pesa za kustaafu amemaliza ajajipanga kwa chochote maisha yanampiha na alivyokosa haya eti sasa ivi anajidai mtakatifu anatuomba wajomba zake pesa na sisi tulishaambiana tusimsaidie na kwel hatumpi kufa hafi cha moto anakiona huenda mungu aliskia kilio cha bibi yng mana yeye ndio alihangaika kwa kua mume wake alishafariki akabaki peke yake jamani kidogo mkipatacho wapeni wazazi wenu hususani mama kwa kua mama ni mwnye huruma anahakikisha mwanae anafanikiwa na ww ukifanikiwa mrudishie mama sio mpk uwe tajiri icho kidogo ukipunguza mungu atakuongezea