Juventus na Borussia Dortmund ni miongoni mwa klabu kubwa ambazo wanamfuatilia kiungo kinda wa Uingereza Matt O'Riley,17, anayekipiga katika klabu ya Fulham. (Evening Standard)
Klabu za Wolves, Leicester City, Southampton na Fulham zinahusishwa na harakati za kumsajili kiungo wa Ureno Joao Mario. Mario,25, hajacheza hata mechi moja katika klabu ya Inter Milan msimu huu. (Calciomercato)
Mshambuliaji wa Uholanzi Robin van Persie, 35, ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Feyenoord, anatarajiwa kustaafu soka mwisho wa msimu. (AD - Dutch)
Zimeanza kuwa ngumu ngumu kidogo sijui kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16]LIKES ZINAENDLEA KUTOLEWA...