Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1540409945275.jpg
 
Na hizo dola 50K si pesa kivile kama anaishi huko nchi za wenzetu. Hapo zote zinaishia katika bills tu hakuna cho chote. Isitoshe porn ni gemu la hatari sana na wastani wa wacheza hizi filamu katika gemu haizidi miaka miwili. Baada ya hapo huwa wamechujuka na kutupwa huko. Kutokana na kazi yenyewe wakishatoka kwenye porn wengi wao huwa wanapata shida kuwa na mahusiano ya kawaida na hivyo kuishia kuangukia katika ukahaba, matumizi ya unga na hufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kujiua na drug overdose. Ni kazi ya laana!!!
Inasikitisha sana, watanzania wanataabika ugenini ili hali nchi yao ina raslimali nyingi tu
 
BREAKINGGGGGG!!!!!NEWSSS Mtanzania wakwanza na Afrika Mashariki kupewa Dili Nono La Kucheza filamu za Ngono (X Videos) 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na kampuni kubwa ya usambazaji wa Video Hizo Ya PORNHUB!!!inakadiriwa kwa mwaka anaingiza $50000 za kimarekan sawasawa na Tsh (Mil 120)😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥 anaitwa @alicewakishua 😆😆😆😆😆😆😆Sasa watanzani wenzangu Mnasemaje Juu ya Hili???? Tumpongeze Huyu Binti au Tumtukane maana sielew nipo Njia panda mwenzenu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na Je kama ungekua wewe Binti/Mkaka umewekewa Dili mezani kama Hili Utaliacha Lipite!!!???? ukizngatia Hali Ya maisha kwa sasa?????View attachment 910178
Sio sahihi, utu wangu ni muhimu zaidi.Hatuna budi kuridhika na hivi vidogo tulivyo navyo.
 
Back
Top Bottom