Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume wa mikoani pia mnakaribishwa.
20181025_151511.jpeg
 
Wewe huna fyekero hata moja? Mbona mimi nadhani unayo mawili? Niyataje?
Sina fyekero hata moja...Nina ID moja tu (Pyaar) na sioni sababu ya kunifanya niwe na mafyekero.
Sema kuna mafyekero mengi yanakuja PM, huko ni kutokujiamini, waje wazima wazima wao kama wao na sio mafyekero.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata umama haupo hivyo.
 
😀😀😀😀😀
 
Kwanza tuelewane sitaki muanzee ooh kuna GB whatsapp cjui nni GB kwa sasa imeingiliwa na virus ukiweka set zaidi ya 4 inacorrupt hata txt zinachelewa kwenda hata hii Yo whatsapp imetengenezwa kwa kucheki mapungufu ya GB whatsapp ivo ni akili yako kujiongeza ipi kali

Download Yo whatsapp app ya kijanja kama ulikuwa hutumii ijue
Sifa yake

Mtu akifuta text we utaiona
Utaweka rangi unayoitaka
Utaficha last seen au utagandisha hata ukiwa online haitaonesha kama upo online
Kusoma txt bila mtu kujua
Utasave status za watu au kuzidownload

Download kupitia hapa
Yo whatsapp new version 7.70
 
Back
Top Bottom