myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
poleni mlio kwenye daladala
ameposti sana tangazo lake kwenye nyuzi kibao!!! ni vimtego kwa vijana😀😀😀Kwani hii whatsapp ya kawaida ina tatizo gani kamanda mpaka kuhangaika kote huku?
Makusudi kabisa,mbona hajaongelea kuhusi account yake kupost matangazo na je kaka vaseline nae wapo pamoja au la!nyumbu ni nyumbu tu habadilikiWema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni - JamiiForums
@Numbisa,njoo umsikie nyumbu huku.
Anafanya kusudi halafu anategemea kuomba msamaha,mfyuuuu
Fyekero = ID mpya hapa JF (mara nyingi ni kwa ajili ya kufanyia mambo ambayo huwezi kuyafanya kwa kutumia ID yako ya kawaida mf. Kukiri kuwa we ni memba wa CHAWAMITA, CHAPUTA; kutongoza mtu ambaye alishakukataa huko nyuma, kuporomosha povu, kujiwekea likes mwenyewe, kuanzisha thread za kifala fala n.k)
Aisee....ameposti sana tangazo lake kwenye nyuzi kibao!!! ni vimtego kwa vijana😀😀😀
Hapo umemsahau amber ruty yeye kaachia video kabisa kijamaa kinafukua vya haramu.Wakati hata taswira ya msokolombos wa idris haijatoka kichwani,gigy akaachia mwandu wake,hatujakaa sawa wema naye huyo.
Aaaagggr!!watuache basi jamani[emoji36][emoji36][emoji36]
Wema sijui atakua lini kwakweli
Siwezi kupiga stori na fyekero mie...[emoji23] Nayaambia mimi ni dume sihitaji kubaniwa pua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanapokuja PM unafanyeje? Unayaanzishia lekcha au?
Fyekero hata wiki halijamaliza lakini linapiga stori za zamani enzi za akina Rutta na akina Kichwa Kichafu. Inawezekanaje hiyo?
Aisee....
Na atawapata tu.
Nadhani ushajibiwa.Hivi fyekero ni nini.
Kuuliza sio ujinga prof.