Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kw amfano, leo jinsi nilivyowaona (Georgio) Chiellini na (Leonardo) Bonucci walivyocheza, inabidi na mimi niseme tu kuwa basi Chris (Smalling) na Victor (Lindelof) wamecheza mechi vizuri sana.” alisema Mourinho akiwasifu walinzi wa kati wa Juventus.
 
Wakati Mourinho akilalamika kuhusu ubora wa wapinzani wao, mastaa wawili wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes na Rio Ferdinand ambao katika siku za karibuni wamekuwa wakiiponda timu hiyo waliendelea kuiponda timu hiyo baada ya pambano la juzi kumalizika.
 
Juventus imeitawala United karibu kila eneo uwanjani. Sifa kwa Dybala aliyemalizia vizuri. Nawapa pongezi Juventus kwa jinsi walivyocheza vema ugenini dhidi ya klabu kubwa, lakini sio dhidi ya timu kubwa kama ilivyokuwa zamani, walikuwa wametulia.” Alisema Scholes.
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Kuna tofauti kubwa ya ubora. Wakati United walipokuwa na mpira walionekana kuwa na wasiwasi. Ni kweli Mourinho ana furaha na hali hiyo? Labda. Nani anajua? Unapowatazama Manchester wanacheza unajisikia aibu kidogo.” Aliongeza mkongwe huyo ambaye amekuwa akikwaruzana na Mourinho mara kwa mara.
 
Rio Ferdinand anaamini kwamba pambano hilo lilikuwa kati ya Wanaume dhidi ya Wavulana akiamini kwamba kulikuwa na tofauti kubwa kati ya uwezo wa Juventus dhidi ya Manchester United.

“Imefanana na mechi mbili zilizopita wakati wapinzani walipopata bao la kuongoza. Kama ukiniambia nielezee kwa kifupi jinsi mechi ilivyokuwa nitakwambia kwamba ilikuwa ni Wanaume dhidi ya Wavulana.” Alisema Mlinzi huyo wa kati wa zamani.
 
Tulitegemea waanze mechi kwa kasi kwa vile ni pambano la Ligi ya mabingwa. Walianza mechi kivivu katika kipindi cha kwanza na ubunifu wa timu ya Juventus uliwaletea United matatizo mengi sana.” aliongeza Rio.
 
  • Thanks
Reactions: Paa
JOHN CENA AFUNGUKA KUWA ANAHITAJI MTOTO, KWANI ANAPATA FEDHEHA | Licha ya kupitia kwenye mahusiano na wanawake lukuki, Mwanamieleka maarufu duniani, John Cena ameonekana nafsi yake kufedheheka kwa kukosa mtoto. John Cena (41) ambaye ameshapitia kwenye maisha ya ndoa kwa miaka minne na aliyekuwa mke wake wa ndoa Elizabeth Huberdeau, hajabahatika kupata mtoto jambo ambalo amekiri linamnyima raha. “nimepitia kwenye mahusiano tofauti tofauti, lakini sijabahatika kupata mtoto. mwanzoni nilikuwa naangalia mwanamke nitakaye jenga naye familia lakini kwa sasa natamani zaidi kupata mtoto hata kwa njia ya upasuaji ikiwezekana,“ameeleza John Cena kwenye mahojiano yake na kipindi cha Today cha NBC. Mwanzoni mwa mwaka huu John Cena alimvisha pete ya uchumba mcheza mieleka mwenzie Nikki Bella lakini miezi miwili baadae wakamwagana. Katika maisha yake yote, John Cena hajawahi kupata mtoto na alishawahi kutamka wazi miaka ya nyuma kwamba hapendi watoto.
Nadhani hou msitari wa mwisho kwenye maandishi yako ndio unamhukumu..

Atengue kauli yake kwanza kuwa hapendi watoto, pia amuombe Mungu rehema...atapata mtoto
 
Mauricio Pochettino, amekubali kubeba mzigo wa lawama baada ya Tottenham Hotspurs kutoka sare ya mabao 2-2 na PSV Eindhoven ya Uholanzi.

Pochettino alisema anapaswa kulaumiwa kwa matokeo hayo ambayo yameiweka katika nafasi ndogo Spurs kutwaa ubingwa wa Ulaya.

“Kama kuna mtu anayepaswa kulaumiwa kuhusu matokeo haya ni mimi,” alisema nyota huyo wa zamani wa Argentina.
 
Back
Top Bottom