Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia kocha huyo amekata tamaa na amewaambia wachezaji wake hawastahili kuwemo katika ushindani kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Pochettino, amekuwa katika wakati mgumu wa kuipa mafanikio Spurs, baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha katika mechi za Ligi Kuu England.

Kocha huyo alitoka uwanjani akiwa amekasirika baada ya Eindhoven kusawazisha dakika ya 87.
 
Hahaha, wanatia huruma
IMG-20181024-WA0071.jpeg
 
Yanapokuja PM unafanyeje? Unayaanzishia lekcha au?

Fyekero hata wiki halijamaliza lakini linapiga stori za zamani enzi za akina Rutta na akina Kichwa Kichafu. Inawezekanaje hiyo?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bro mimi nashindwa kabisa kuwatambua wewe unatumia njia gani au ndiyo Ile software yako
 
Kwani hii whatsapp ya kawaida ina tatizo gani kamanda mpaka kuhangaika kote huku?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, amelazimika kusema ukweli kwa mashabiki wa klabu hiyo akiwaambia bado hawana kikosi cha kuwapa ubingwa wa Ulaya.

Mourinho amewaambia mashabiki wafute ndoto za ubingwa na kuwatahadharisha kuwa sio yeye tu bali hata wakimleta kocha gani kwa sasa wasitarajie kufanya miujiza.
 
Lazima niwe mkweli bila kujali watu wataitikiaje, kutoka ilipo Man United na ulipo ubingwa wa Ulaya ni mbali hatuna uwezo wa kutwaa ubingwa kwa sasa na safari bado ndefu,” alisema.

“Man United inahitaji uwekezaji mkubwa wa wachezaji ili tuwe na kiwango kama zilivyo timu nyigine za Ulaya mfano Juventus, Real Madrid, Barcelona, Man City na nyinginezo,” alisema.

Mourinho aliyasema hayo baada ya kufungwa bao 1-0 na Juventus ya Italia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliochezwa juzi kwenye uwanja wa Old Trafford.
 
Bao lililoipa Juventus ushindi lilifungwa na mshambuliaji kutoka Argentina, Paulo Dybala dakika ya 17 akiunganisha krosi ya nyota wa zamani wa Man United, Cristiano Ronaldo.

Huo ulikuwa mchezo wa kwanza kwa Ronaldo kucheza Old Trafford tangu alipoihama klabu hiyo mwaka 2009, pia ni mchezi wa kwanza kumkutanisha na kocha aliyemnowa akiwa Real Madrid.
 
Kipigo hicho kimeiweka Man United katika nafasi ngumu kusonga mbele kwani italazimika kuishinda Valencia zitakapokutana Desemba mwaka huu ikiwa inataka kufuzu au kujiweka kwenye nafasi ya kuangukia Europa Ligi.

Mourinho alisema tangu makundi yalipopangwa yeye binafsi alijua ana kazi pevu kuchuana na Valencia kusaka nafasi ya pili kwa kuwa nafasi ya kwanza kwa kundi hilo ni ya Juventus, moja ya timu anazozipa nafasi ya kufika mbali kwenye michuano hiyo.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bro mimi nashindwa kabisa kuwatambua wewe unatumia njia gani au ndiyo Ile software yako
Hapana bro. Mtu unaangalia id yake kajiunga 24/10/2018 lakini tayari anajua stori kibao za kwenye uzi husika. Utamuelewaje mtu huyo? Na wengine anakuja kukusalimia mpaka PM sijui ndo anakutega hata sijui ishu ni nini. Utajua tu bro wala huhitaji sofutiwea...
 
Mdada kapendeza. Sasa hapo siku ya siku uombwe kumfumua halafu ujifanye mjanja utumie mkasi huko nchani ujichanganye ukate nywele zake. Moto utakaokuwakia mpaka utakwenda kutafuta ushauri nasaha aisee...[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sahau bro ,alikuweza kweli yule mwanamke
 
Back
Top Bottom