Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
MAENDELEO ya teknolojia yanazidi kukua siku hadi siku. Tofauti na zamani, mambo mengi yalikuwa yakiwapita watu. Ima usikilize redio na hapo inatakiwa uwahi kweli, au uhadithiwe na mtu aliyekuwepo eneo la tukio au mhusika wa tukio.
Hata hivyo, kwa sasa mambo ni tofauti na hata kwenye mchezo wa soka hali imebadilika.
Zamani watu walikuwa wakijaa viwanjani kushuhudia mechi, haijalishi ni ya aina gani na kubwa vipi, watu walijaa, tofauti na sasa, wengi hawaendi uwanjani na kikubwa ni kutokana na kuwepo kwa teknolojia hizi.