myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
DUH!!Mkuu kama wengine wasipokufa tusinge tosha
DUH!!Mkuu kama wengine wasipokufa tusinge tosha
Pia nitakuja na mzigo wa carbamazepine ili umfikishie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakusubiriaaaa
Hii kesi ya Gold Crest ukitaka iishe ni wewe tu kutokea siku ukiitwa huko...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bana
Kabisa bro huwezi jua [emoji23][emoji23][emoji23]Chonga mafyekero bro acha mbwembwe...Halafu unamzukia binti mpole kiaina. You never know. Waweza shangaa paap huyu hapa Gold Crest [emoji16][emoji16][emoji16]
Kina vibuti vingine vinauma dah!Silalamikagi lakini vibuti vinasababisha malalamiko
Jioni njemaa[emoji137]
Kabisa bro yaani kuna vitu vingine mpaka vitokee ndiyo kunakuwa na mwisho kesi hii ya gold crest haijaishaHii kesi ya Gold Crest ukitaka iishe ni wewe tu kutokea siku ukiitwa huko...[emoji16][emoji16][emoji16]
Na si ajabu sasa ukipita mitaa hiyo unakumbuka matani haya unanivijolaizi unavyofikiri niko halafu unaishia kutabasamu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jioni njemaaView attachment 910582
UmejuajeKorean movie
Haitakaa iishe hii labda JF ifungwe. Wiki nzima bro niko Rocky City namtafuta kauchuna tu. PM kafunga na JF anaingia kwa kuibia ibia. Sitakaa nisahau wala kuachiliaKabisa bro yaani kuna vitu vingine mpaka vitokee ndiyo kunakuwa na mwisho kesi hii ya gold crest haijaisha
[emoji23][emoji23][emoji23] hizo ni wishes tu bro mkubwaDuh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni hao mijusi wamenifurahisha jinsi walivyopindisha mikia mpaka ikachora ile alama pendwa[emoji23][emoji23][emoji23] hizo ni wishes tu bro mkubwa
Sio deal kubwa!!
Mtindi bado haujaganda vvizurii, labda mpaka kesho!![emoji349]Kaisiki...migombani...View attachment 910592
Hazinipitagi hizoUmejuaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeona eeHii kesi ya Gold Crest ukitaka iishe ni wewe tu kutokea siku ukiitwa huko...[emoji16][emoji16][emoji16]
Na si ajabu sasa ukipita mitaa hiyo unakumbuka matani haya unanivijolaizi unavyofikiri niko halafu unaishia kutabasamu tu [emoji23][emoji23][emoji23]