Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HewalaaaPia nitakuja na mzigo wa carbamazepine ili umfikishie
HewalaaaPia nitakuja na mzigo wa carbamazepine ili umfikishie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haitakaa iishe hii labda JF ifungwe. Wiki nzima bro niko Rocky City namtafuta kauchuna tu. PM kafunga na JF anaingia kwa kuibia ibia. Sitakaa nisahau wala kuachilia
HahahahaHaitakaa iishe hii labda JF ifungwe. Wiki nzima bro niko Rocky City namtafuta kauchuna tu. PM kafunga na JF anaingia kwa kuibia ibia. Sitakaa nisahau wala kuachilia
Brooo....Miss u ndugu zangu,,,
Habari za uzima hapa
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazuriKaisiki...migombani...View attachment 910592
Wako vizuri! Nadhani watakua mijusi wa kizunguNi hao mijusi wamenifurahisha jinsi walivyopindisha mikia mpaka ikachora ile alama pendwa
Niko salama bro. Za kupotea?Hahahaha
Bro kwema
Awwiiiiiwwwwwwwww welcome bwana jeziiiiMiss u ndugu zangu,,,
Habari za uzima hapa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 910596
Safi tu...karibuMiss u ndugu zangu,,,
Habari za uzima hapa
list yako...ulizowahi/unazo zikubaliHazinipitagi hizo
Niko poa kabsa bro,,,nliwamiss sana aiseeBrooo....
Dah...
U mzima wewe?
Salama kabsa,,,habari za majukumu kaka?hope mambo yanaenda salama kabsaNiko salama bro. Za kupotea?
HahahaAwwiiiiiwwwwwwwww welcome bwana jeziiii
Asante sana mkuuSafi tu...karibu
Tuko salama bro. Ndo umerudi kimoja au unapita tu kutusalimia halafu unasepa...Salama kabsa,,,habari za majukumu kaka?hope mambo yanaenda salama kabsa