Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446729621_263235.jpeg
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
JF inaniruhusu bro, lakini si kwamba si fahamiki hapana.
Chonga mafyekero bro acha mbwembwe...Halafu unamzukia binti mpole kiaina. You never know. Waweza shangaa paap huyu hapa Gold Crest [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Fyekero = ID mpya hapa JF (mara nyingi ni kwa ajili ya kufanyia mambo ambayo huwezi kuyafanya kwa kutumia ID yako ya kawaida mf. Kukiri kuwa we ni memba wa CHAWAMITA, CHAPUTA; kutongoza mtu ambaye alishakukataa huko nyuma, kuporomosha povu, kujiwekea likes mwenyewe, kuanzisha thread za kifala fala n.k)
Nimekusoma bro, ahsante sana.
 
Back
Top Bottom