Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana bro. Mtu unaangalia id yake kajiunga 24/10/2018 lakini tayari anajua stori kibao za kwenye uzi husika. Utamuelewaje mtu huyo? Na wengine anakuja kukusalimia mpaka PM sijui ndo anakutega hata sijui ishu ni nini. Utajua tu bro wala huhitaji sofutiwea...
Kila kukicha napata followers cha kishangaza wengi wanakua wamejiunga siku hio hio na ukiangali ni 7 minutes ago nabaki na mshangao
 
Iginoa listi walahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20181023-221320~2.jpeg
 
Klabu ya Bacelona inajiandaa na mechi mbili ngumu ambapo kwa mara ya kwanza watamkosa nyota wake Lionel Messi katika safu ya ushambuliaji.
Messi ameonekana kwa mara ya kwanza akiwa ametinga bandeji ngumu aliyowekewa kutokana na majeraha aliyopata baada ya kuvunjika mkono.
Mshambuliaji huyo wa Barcelona alivunjika mkono wa kulia wakati Barceloana ikishinda kwenye mechi yake ya Jumapili iliyopita dhidi ya Sevilla.
 
Hapana bro. Mtu unaangalia id yake kajiunga 24/10/2018 lakini tayari anajua stori kibao za kwenye uzi husika. Utamuelewaje mtu huyo? Na wengine anakuja kukusalimia mpaka PM sijui ndo anakutega hata sijui ishu ni nini. Utajua tu bro wala huhitaji sofutiwea...
Hivi nini kinawapelekea kuwa na ma fyekero, mimi kila siku nasema leo lazima nifungue fyekero lakini naona ni kujipa tabu tu napotezea
 
Fyekero = ID mpya hapa JF (mara nyingi ni kwa ajili ya kufanyia mambo ambayo huwezi kuyafanya kwa kutumia ID yako ya kawaida mf. Kukiri kuwa we ni memba wa CHAWAMITA, CHAPUTA; kutongoza mtu ambaye alishakukataa huko nyuma, kuporomosha povu, kujiwekea likes mwenyewe, kuanzisha thread za kifala fala n.k)
Kajibu hapo
Hivi nini kinawapelekea kuwa na ma fyekero, mimi kila siku nasema leo lazima nifungue fyekero lakini naona ni kujipa tabu tu napotezea
 
Taarifa za madaktari zinaeleza kwamba, huenda mchezaji huyo akazikosa mechi sita katika mashindano yaliyopo mbeleni, lakini jambo kubwa ni kukosekana kwenye mechi ya El Clasico.
Kuumia kwa Messi kunakiweka kwenye wakati mgumu kikosi cha kocha wa Barceloana, Ernesto Valverde ambaye hata hivyo awali alisema kwamba ni mara kadhaa Messi hakuanza kwenye kikosi hicho na wachezaji walikuwa na kasi ya kawaida.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sahau bro ,alikuweza kweli yule mwanamke
Yaani nikiona tu nywele zimesukwa hivi vitita vidogo dogo hivi moyo unashtuka. Sitakaa nimsahau yule dada aisee...Ajabu leo nikimkumbushia yeye anacheka tu na anaishia kusema eti I deserved it. Shwaini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Fyekero = ID mpya hapa JF (mara nyingi ni kwa ajili ya kufanyia mambo ambayo huwezi kuyafanya kwa kutumia ID yako ya kawaida mf. Kukiri kuwa we ni memba wa CHAWAMITA, CHAPUTA; kutongoza mtu ambaye alishakukataa huko nyuma, kuporomosha povu, kujiwekea likes mwenyewe, kuanzisha thread za kifala fala n.k)
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona sababu nyingi hapo ni za hovyo, why fake unavyovikubali
 
Back
Top Bottom