Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa goma jipya la vanny boy hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]miguu kama yangu
6bc2f9d9b7957c318c58498867f424f1.jpeg
 
Nimependa maelezo yako...

Tukifika kwenye siasa za aina hiyo tumekwisha...
Mkuu Tanzania hii bado wapo watu ambao pengine wasingependa hili ama lile kwakuwa tu limefanywa na omari, na wangelipenda sana kama lingefanywa na Juma, lakini bado wapo wengi wanaopenda utanzania na kupenda tulivyonavyo.
Eneo lenye daraja hilo lina ushindani mkali wa kisiasa, lakini watu wote wa eneo hilo wanajua madhara ya kulupoteza daraja hilo. Ni wakulima na wachimba madini ambao waliteseka sana zama kutumia kivuko. Binafsi siamini kama kuna hujuma za kisiasa hapo
 
Back
Top Bottom