Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimependa maelezo yako...

Tukifika kwenye siasa za aina hiyo tumekwisha...
Mkuu Tanzania hii bado wapo watu ambao pengine wasingependa hili ama lile kwakuwa tu limefanywa na omari, na wangelipenda sana kama lingefanywa na Juma, lakini bado wapo wengi wanaopenda utanzania na kupenda tulivyonavyo.
Eneo lenye daraja hilo lina ushindani mkali wa kisiasa, lakini watu wote wa eneo hilo wanajua madhara ya kulupoteza daraja hilo. Ni wakulima na wachimba madini ambao waliteseka sana zama kutumia kivuko. Binafsi siamini kama kuna hujuma za kisiasa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…