Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha!! Sina madili Jf mie na wala haitatokea niwe na dili Jf, Kuhusu kuniona ondoa shaka kabisa, hakuna kipingamizi....Na nisingependa tuishie kuonana tu, pia nitakufundisha lugha yangu adhimu.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es salaam linamshikilia Seif Abdallah Mohamed mkazi wa Tuangoma Kigamboni jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kujifanya Katibu Mkuu Kiongozi wa Ikulu na kuendesha vitendo vya utapeli katika ofisi mbalimbali za Serikali ikiwemo wizara ya mambo ya ndani.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Operesheni ya Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi Liberatus Sabas amesema Seif mwenye umri wa miaka 35 alitiwa mbaroni baada ya kumpigia simu kiongozi wa ngazi za juu kwa nia ya kutekeleza vitendo hivyo vya utapeli.
 
Hahahahaha!! Sina madili Jf mie na wala haitatokea niwe na dili Jf, Kuhusu kuniona ondoa shaka kabisa, hakuna kipingamizi....Na nisingependa tuishie kuonana tu, pia nitakufundisha lugha yangu adhimu.
Lugha gani hiyo adhimu?

Hivi kaYego ulikafundisha?

Mi lakini ni mwanafunzi "mkorofi" sana. Shauri yako [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…