Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sina avatar nyingine.
Sina avatar nyingine.
Sina avatar nyingine.
Sina avatar nyingine.
Sina avatar nyingine.
Sina avatar nyingine.
Kwema kamanda?Hamjambo humu ndani
Kwani shule zimeshafungwa? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Uniq kama upo TA nimefika mida hii Handeni kwenye Hoteli yetu ile ile kesho weekend karibu twende mnadani tukale nyama
Kwema mkuu tunamshukuru mwenye enzi kutuma uzima mpka leo hii wengi walitamani kuiona siku ya leo lakini hatuko naoKwema kamanda?
Inawezekana shepu yake ikawa hivi aisee pyaar nakuja pm fasta
Hujambo bibie[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo hatari sasa.
Documentary yake ni nzuri sana.Che akiwa Kongo kugawa maumivu kwa Wabelgiji....View attachment 911730
Mkuu mkuu habari za masikuWaaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Miwani yake ni ya kipekee sana.
Mkuu tunabahatika kusafiri mara kwa mara ni kweli unachosema nchi hii imebarikiwa sana tena sana sijui umasikini unatokea wapiKupitia kwako nimejifunza kuwa Tanzania ni nchi nzuri na tumebarikiwa mno. Ikiwezekana nitapenda kutembelea hifadhi hizi kwa wingi kadri inavyowrzekana. Tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Inawezekana?Inawezekana shepu yake ikawa hivi aisee pyaar nakuja pm fasta