Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Wala si uongoMugabe bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 911777
Wala si uongoMugabe bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 911777
Mimi kweli sijawahi kuona miwani ya hivyo ndio maana nikacomment on them 😀😀😀.Ila wewe hujaweka wazi ulichoona.Bro. Yaani wewe ulichoona hapo ni miwani? Mi wala sikujua kama kavaa miwani aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa mwanamke mi naangaliaga kitu kimoja tu. Kinajulikana [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi kweli sijawahi kuona miwani ya hivyo ndio maana nikacomment on them 😀😀😀.Ila wewe hujaweka wazi ulichoona.
Kumbe Screen 😀😀😀Kwa mwanamke mi naangaliaga kitu kimoja tu. Kinajulikana [emoji16][emoji16][emoji16]
Wameachana lini aiseeeUnamuelewa nini bro? Flati skrini kabisa hakuna kimsambwanda hata cha kuombea maji. Ila ana sura nzuri sana...
Mama Mchungaji huyo mpaka akavujisha picha za uchi mifarakano ikaanza. Kumbe mume naye alikuwa na mchepuko permanent ndoa hiyoo chali...