Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Li avatar limefanya nini?? [emoji23]Na hilo liavatar hilo hooovyooo!
Au ndo vifaa vya job?
(Land) surveyor?
Lakini nilichojitetea si kina ukweli?[emoji23]Unapojitetea jitetee tu. Siyo unahamishia lawama kwa mwingine...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo poa kabisa!!Mambo vp Prof...
Nilikumiss sana pamoja na zile nondo zako
Hahahahahaha mujini kuna Mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anang'ata na kuacha vidonda.
Ukisema mr vaseline unanikumbusha jusi kafiri msafisha mitaro mzee wa kuvaa bikini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana anawatukanaga,hawana akili kabisaaaIle team kama wamerogwa nasikia hadi jumalokole na yeye anamtetea.
Kuna watu ni wapumbavu sana,unamteteaje mtu aliyeamua kufanya jambo kwa hiari yake mwenyewe?
Daaah bro huyo Meghan nilikuwa namuelewa kitamboRoho ilikuuma macho yako yale masikini...
KaMeghan Goods kazuri sana sema tu hakana msambwanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaha jamani Prof,,,fyekero la wapi tena???huwezi amini sina fyekero lolote lile haha
Hizi mbwembwe sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna mmoja aliwa niambia eti.asipopigika mpaka akavuja damu hujihisi anaishi mdada mwenzake[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kanda ya ziwa nikafikiri ni lile kabila pendwa...Kumbe Wakurya...
Nasikia wanawake wa Kikurya asipopigwa anajua kuwa hapendwi. Sijui kama ni kweli...
Ni kweli..
Silipendiiii [emoji16][emoji16][emoji16]Li avatar limefanya nini?? [emoji23]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Huku salama kabisa bradha. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Unamuelewa nini bro? Flati skrini kabisa hakuna kimsambwanda hata cha kuombea maji. Ila ana sura nzuri sana...Daaah bro huyo Meghan nilikuwa namuelewa kitambo
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] kwakweli anastahili dole[emoji16] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]