Ooohoooo mmoja timu yake inalazimisha asamehewe kisa kaenda lia mbele ya media
Wacha kabisa,na saiv tupo US tumefikia kwa mtogole mambo ni motooo
Ila mr vaseline kama denda anavuta vile lips je chuchu itakua imesalimika na majeruhi kweliii!!!???
Hii kitu imeniudhi to the Maximum point walahi
Pambavu zake huyo mwanamke, next stop yake ni kaburini walahi
Mwanamume hana kosa maana ni mgonjwa wa akili, sasa hilo li mwanamke ndio shida, liondoke tu walahi