Naomba utiwe kwenye iginoa listi mpaka mwisho wa mwaka huu indeed wallahi !!!Hii niliinukuu tu kwa mkuu mmoja hapa dear, nami nimeshindwa kumwelewa kwanini anahisi hivyo.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Naomba utiwe kwenye iginoa listi mpaka mwisho wa mwaka huu indeed wallahi !!!
Utetezi wa Prof dhaifu sana...kwa level yake...Prof nyoosha maelezo prof [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Heshima yako mkuu.
Upare na Uslei kwini wapi na wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hizi mbwembwe sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kanda ya ziwa nikafikiri ni lile kabila pendwa...Kumbe Wakurya...Itakuwa kanda ya ziwa hiyo, hasa kwa Wakuriya huko, wanapendaga sana.kuwaharibu wanawake,
Utetezi wa Prof dhaifu sana...kwa level yake...
Huyo wa katikati jamaniiiiiii....Kha !!!Wapumbavu wetu wa week hiiView attachment 911483
Umechemsha prof....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], niacheni mie
Naomba utiwe kwenye iginoa listi mpaka mwisho wa mwaka huu indeed wallahi !!!
Sis; tia kwenye iginoa listi huyu please [emoji16][emoji16][emoji16]