Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watoto wawili ambao bado hawajazaliwa wamefanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo wiki chake kabla ya kuzaliwa kwao.
Upasuaji huo ambao ni wa kwanza wa aina hiyo nchini Uingereza ulifanywa na kundi la madaktari 30 kati chuo kimoja jijini London.
Watoto hao walikuwa na tatizo lilalojulikana kama spinal bifida, ambapo uti wa mgongo hukosa kukua vile inavyotakikana.
 
Mara nyingi hali hiyo hutibiwa baada ya mtoto kuzaliwa lakini ikiwa itatibiwa mapema hali ya afya ya mtoto huwa bora zaidi.
Wakati wa upasuaji huo uliochukua muda wa dakika 90, madaktari walipasua tumbo la mama kisha wakashona pamoja sehemu ya uti wa mgongo wa mtoto iliyokuwa imeachana.
 
Spina bifida ni nini?
Kulingana na shirika la Charity Shine, zaidi ya watoto 200 huzaliwa na hali hiyo ya spina bifida kila mwaka.
Hali hiyo hutokea wakati kitu kinachoitwa neural tube - awamu ya kwanza ya kukua kwa ubongo na uti wa mgongo hukua kwa njia isiyostahili na husababisha kuwepo nafasi kwenye uti wa mgongo.
Upasuaji unaweza kutumia kuziba nafasi hiyo kwenye uti wa mgongo mara nyingi, lakini mara nyingi matatizo yatakuwa tayari yametokea na miguu kupooza.
Baadhi ya watu hupatwa na hali ngumu ya kujifunza.
Kinachosababisha hali hiyo hakijulikani, ambayo hutokea wakati wa mimba.
 
Shida juu ya shida. Ila wa huku nyanya sana mijarubeg haina kazi sijui nini kinawalegezaga wanaishia kuwa vipozeo tu
Hawa wa huku nasikia ukilibeba inabidi uweke wazi kama wewe ndiyo unaenda kupozwa au unaenda kulipoza. Yanajiuza mtandaoni na sites kabisa na wateja wakubwa inasemekana ni waume za watu na vijana marijali ambao ni bi curious wanalipa pesa ndefu halafu wanakwenda wanapozwa na kutunziwa siri. Kuna moja huko Nevada akaunti ya lenyewe ilikuwa hacked. Wateja waliopatikana humo walishangaza watu - wachungaji, matajiri, wanasiasa, mapolisi... you name it...Dunia !!!
 
Angalizo: Siyo Usukumani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20181025-WA0054.jpeg
 
Back
Top Bottom