[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitatest mitambo baadaye. Au nitasubiri kukiwa na ubuyu wa motooooo
Kwa upande wa wanawake, kawaida kidole cha pili kutoka kidole gumba na kidole cha pete huwa vina urefu sawa. Wakati kwa wanaume kuna tofauti kubwa baina ya vidole hivyo.
Wote wanawake na wanaume walipata homoni za kiume za testesterone wakiwa bado tumboni, lakini baadhi wanaweza kuwa walipata homoni hizo nyingi Zaidi tofauti na wengine, wanasayansi wanasema.