Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*BREAKING NEWS*

Mwanamitindo Maarufu MANGE KIMAMBI hatimaye amewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo 24/10/2018 Taalifa zinasema kuwa Mwanamitindo huyo ameingia nchini usiku wa manane kwa kuhofia asije kamatwa. Ingawa hata hivyo haikusaidia chechote kwani Maafisa usalama walikuwa tayari wamekwisha zipata taarifa za ujio wake na wakakaa kumsubili, Kabla hajatia miguu katika Ardhi ya Tanzania alikuwa chini ya Ulinzi lakin Mh. John Pombe Magufuli akatoa tamko kwamba Wamuachie huru ila wamwambie anaombwa na Rais kwaajili ya Mazungumzo Ikulu.
*Mpaka namaliza kuota ndoto hii iliyokuwa ya kusisimua nilimwacha Mange Kimambi Bado hajaenda ikulu*
Hahahahahahaaaa duu ulikuwa makinii
Pole sanaah hata mm ilikuwa ndoto tuuuu, Tulagowe[emoji1787][emoji1787]
 
Kweli. Tumetoka mbali sana na sis wangu yule ila mimi nadhani ndiyo naongoza kuwekwa kwenye iginoa listi yake. Hata sijui huwa namkoseaga wapi dah. Likely ni yale matani yangu ya mara moja moja ya I touch new money everyday Masaki Peninsula is my home[emoji16][emoji16][emoji16]....

Au pengine mizimu yake tu hainipendi [emoji23][emoji23][emoji23]
"Mizimu yake tu hainipendi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ISIS
 
Prof. Usinichongee please.

Ni utani tu....

Iginoa listi nitatokaje sasa Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
446430648_399811.jpeg
 
Back
Top Bottom