Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Upande mmoja kuna shule na hospitali , na upande mwengine kuna soko na maeneo mengine ya kibiashara.
Kwa hivyo licha ya hatari iliyoko kwenye daraja hili wenyeji wwamezoea kuwa ikiwa litakatika wanaungana tena kulikarabati.
 
Moses Werunga mkaazi mwingine katika eneo hilo anasema, 'wakati mwengine ndio watu wameteleza na kuanguka lakini wameokolewa, unaona ni nani atakubali kuzunguka mwendo mrefu wenye gharama?ndio maana tunajikuta tukitumia daraja hili '.
Maoni yake Werunga ni sawa na ya wengine asilimia karibia 80 ya wakaazi wa eneo hilo ambao wanasema kuwa daraja hili limekuwa kivutio kwa wageni kutokana na muundo wake.
 
Cha kushangaza ni kuwa licha ya hatari kuu ya daraja hili, kila mtu hulipa ada ya shilingi kumi za Kenya kila wakati kupita.
Na wanaochukua fedha hizi ni wenye mashamba inayopakana na daraja hilo, kila wiki hupokezana fedha makusanyo ya fedha hizo ng'ambo mmoja kwa nyengine
 
?utm_source=ig_share_sheet&igshid=1a9zit0yi9zbo.jpg
 
Back
Top Bottom