Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahahaha! Naelewa😀😀😀😀 haya dada, nilikuchokoza tuu.
I hope ni kwema huko.
Huku kwema kabisa. Frahidei.
Hahahaha! Naelewa😀😀😀😀 haya dada, nilikuchokoza tuu.
I hope ni kwema huko.
Yeye anadai ameshaeleweka.Utetezi wa Prof dhaifu sana...kwa level yake...
Ngoja niendelee kupambana. Na utatiwa tu wallahi. Tena ikiwezekana mwisho tu wa mwezi huu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hata ungetumia matunguli ya kisukuma, The One n Only hawezi kunitia kwenye ignore list walahi!!!
Huku salama kabisa bradha. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yeye anadai ameshaeleweka.
Natumai kumekucha salama huko.
Umechemsha prof....
Kama ni mahakamani mvua 20+ hukosi
Mambo vp Prof...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hata ungetumia matunguli ya kisukuma, The One n Only hawezi kunitia kwenye ignore list walahi!!!
Yeye anadai ameshaeleweka.
Natumai kumekucha salama huko.
Wazungu bwana. Wananifurahishaga sana !!!
Unapojitetea jitetee tu. Siyo unahamishia lawama kwa mwingine...[emoji23][emoji23][emoji23], ulitaka niseme je?
Na hilo liavatar hilo hooovyooo!Msitake kunichonganisha bwana [emoji23][emoji23]
Roho ilikuuma macho yako yale masikini...