Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1540545869988.jpg
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es salaam linamshikilia Seif Abdallah Mohamed mkazi wa Tuangoma Kigamboni jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kujifanya Katibu Mkuu Kiongozi wa Ikulu na kuendesha vitendo vya utapeli katika ofisi mbalimbali za Serikali ikiwemo wizara ya mambo ya ndani.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Operesheni ya Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi Liberatus Sabas amesema Seif mwenye umri wa miaka 35 alitiwa mbaroni baada ya kumpigia simu kiongozi wa ngazi za juu kwa nia ya kutekeleza vitendo hivyo vya utapeli.
Bongo daslamu,,,ofisi ni mtu aliposimama
 
Back
Top Bottom