capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Learn to be smart with your ideas.
Hivi huyu dada alizama kwenye ndoo ya asili ama.....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mademu bwana. Eti nilikuwa nakuresipekti. Unaniresipekti mi kakako kwani? Kukuomba mbunye ndo resipekti imekwisha? Shwaiiini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Girls mtu akikwambia hisia zake sio kwamba kaku dis respect Utaskia "nilikua namuheshimu huyu kaka"
Ila tunajisahau sana. Mtu ukiamka tu tayari kwenye simu hat bila kuchukua angalau dakika 5 kumshukuru Mungu. Mungu Atusamehe tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]Never Get Too Busy To Pray.