Morning mwifwa.Good morning
Umefurahi eeh.... Itulize hio avatar speed ya uzi ipungue kidogo.
Sijambo mamboJambo bint
Kaka kwema...Atahudhuria yeye na mkewe!
MorningMorning![emoji4]
Nawe wa biashara/nyumbani nikutakie siku njemaWale wa kazini niwatakie kazi njema
Lilikuwa pango la mafisadi na wakwepa kodi. Matukio yanayoendelea ni upigaji uliopita watu hata pesa walishakula. Haiwezekani vichwa vitano vya treni vikose mwenyewe. Vimesafirishwaje na kushushwaje bila makaratasi ya mmiliki? Viinimacho vya Bongo!Ndo mlango wa pesa na dili nyingi za mjini
MkateMayai ya kukaanga