Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mi nimepitia vichwa tu. Habari inayobamba ni vichwa vya treni vilivyotelekezwa bandarini. Mafisadi naona walishapiga pesa ndefu sasa wanaogopa hata kuyachukua kwa sababu upepo wa sasa si rafiki kabisa kwa upigaji.
Yani angekaza kidogo tu leo ungekua unaimba pambio hapa[emoji23] [emoji23]Naona unawinda zizi langu
ChipsFrench fries
Ujazweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !!!!!@Jaza
Poa mkuuBaadae kidogo
Unajua kuzipika?Sambusa
Toa likes Pata likesWeka likes pata malike
YupToa likes Pata likes
Kwa kweliKanyaga twendeeeee