Asante sana mzee wangu..nmefurahi kusikia hvyo mzee..ntakarbia siku moja,tuombe uzimaTupo vizuri kabisa. Maisha yanaendelea kama Mungu alivyo tupangia.
Karibu kwetu kijana wangu,uwe na amani kujuana ndio huku huku. Karibu sana
One in a millionbeautiful monster
Hii ngoma hiiForever
Amina.Asante sana mzee wangu..nmefurahi kusikia hvyo mzee..ntakarbia siku moja,tuombe uzima
Mzee ulipotea kidogo kwema lakini mambo yanaendaYaani ni "tummoghelee" mpaka kilabho kyake [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee ulipotea kidogo kwema lakini mambo yanaenda
Viph lambalamba huko???
[emoji125] View attachment 913165
Tupo tushajiandaaWaenda kanisani muwahi kulala msichelewe
LikesTupo tushajiandaa
[emoji16][emoji16]unalala na nguo za kanisani?Tupo tushajiandaa
Hahaahaaa, umenikumbusha enzi ukinunuliwa nguo mpya ya sikukuu hapo hakuna kulala[emoji16][emoji16]unalala na nguo za kanisani?