Mungu ni mwema ndugu yangu, habari ya majukumu?Habari yako mzee
Salama kabsa mzee wangu,,,habari za majukumu pia??familia haijamboMungu ni mwema ndugu yangu, habari ya majukumu?
[emoji16] [emoji16]Walimu wa Kiswahil huwa wanakutana na changamoto kubwa sana wanaposahihisha mitihani ya wanafunzi wao,ona hii:
Swali: Eleza hatua za kuandaa hotuba.
Mwanafunzi bila kujua hotuba ni nini akajibu hivi:
-kwanza ioshe hotuba yako vizuri kisha imenye.
-katakata hotuba yako.
-washa moto na uweke sufuria.
-weka hotuba kwenye sufuria na katia kitunguu kisha uweke na nyanya.
-
-baada ya dakika tano toa hotuba kwenye moto na uandae.
-unaweza kula hotuba yako na ugali ama chapati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameeen. Aririririiiiii[emoji445][emoji445]Kila mtu na aseme ameeen...
Na alichokiunganisha Mungu binadamu kamwe asikitenge [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Rihanna ft Chriss brown-nobody bussinesswe found love
rihana
BedrockHigh school
YMCMB
Hapo sasa....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 913027
MADGal let me love you
ne'yo