moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Rip, pole mkuuRip Joseph Mutaboyerwa walahi
Rip, pole mkuuRip Joseph Mutaboyerwa walahi
Zishakuwa za usiku tena...Kwema kabisa Bradha. Hali yako?Hii hbr sio ya kweli "fake news"
Hbr za asbh prof.
Ipielo ya 2017 ilivunja ndoa yako. Ipielo ya 2018 inarudisha ndoa yenu kwenye njia sahihi[emoji120][emoji120][emoji120]Leo ilikuwa ni kupatwa kwa carba,nimeangalia mpira dk90 zote bila ridhaa yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mko na msimu mbaya sababu team yenu ishakuwa ya mchangani[emoji23]
Habari yako mzeeIpielo ya 2017 ilivunja ndoa yako. Ipielo ya 2018 inarudisha ndoa yenu kwenye njia sahihi[emoji120][emoji120][emoji120]
Nililiona mahali asubuhi asubuhi, nikaamua kupost huku ili nipate ukweli.Hizi zi feki news. Kwa mara ya kwanza habari hizi zilichapishwa na tovuti ya Thereisnews.com. Tovuti hii, kama ilivyo tovuti ya The Onion, huchapisha habari za kitashtiti (satire), ucheshi (humor), mubaalagha (exaggeration) na habari nyingine zilizopikwa. Kuna angalizo (disclaimer) katika tovuti hiyo kuwa habari zao zisichukuliwe kuwa na maana ya moja kwa moja.
Habari hii imeshika kasi sana kutokana na ukweli kwamba papa Francis ana tabia ya kutoa matamko yanayoonekana kwenda kinyume na mafundisho ya kanisa ya muda mrefu na wahafidhina (conservatives) wengi wa kikatoliki wanaamini kuwa analiharibu kanisa japo vijana wengi wanadhani kuwa mabadiliko anayoyafanya ni ya lazima ili kulifanya kanisa liendane na usasa na lisiendelee kupoteza waumini kama inavyotokea katika nchi zilizoendelea. Kihistoria papa pia ana bifu la kiimani, kimamlaka (ya kiroho) na kimtazamo na waprotestanti hasa hasa Waadventista Wasabato ambao humtuhumu kuwa ni mpinga kristo aliyejinyakulia utukufu wa Yesu hapa duniani na kujipachika cheo cha ubaba mtakatifu huku ikiaminiwa kuwa eti yeye hakosei (katika masuala yanayolihusu kanisa na anachokisema ndicho!). Watu wengi pia hawajaridhishwa na jinsi anavyoishughulikia kashfa isiyoisha ya mapadri kulawiti watoto, kashfa ambayo imeanza kuunguruma upya huko Marekani, Amerika ya Kusini na kwingineko duniani.
Nakuaminia sana prof wangu kipenzi na safari nyingine habari kama hizi tata (kiimani) jaribu kuhakikisha kuwa zina chanzo (cha kuaminika). Hii ni kawaida katika academia huko uliko hasa kwenye mada mkorogano kama hii.
Good morning
View attachment 912742
Yu a welokamu prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nililiona mahali asubuhi asubuhi, nikaamua kupost huku ili nipate ukweli.
Asante kwa maelezo mazuri na yenye afya.
Kila mtu na aseme ameeen...Ipielo ya 2017 ilivunja ndoa yako. Ipielo ya 2018 inarudisha ndoa yenu kwenye njia sahihi[emoji120][emoji120][emoji120]
Khaaaa!!! Siku zote wafikiri hana akili??OK Kumbe unaakili
Basi kinywaji pekee kilichothibitishwa hakina madhara makubwa ni Maji a. k. a Water
Thenkisi SYB.Yu a welokamu prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Fuatilia mjadala hapo chini utaona.Khaaaa!!! Siku zote wafikiri hana akili??
Mimi siyo kasmart lakini nakusalimia pia. Hujambo. Habari za kupotea?Mambo kasmart
Weekend iko powa sisi wapole tumetulia majumbani na tafakari nyingi za ulimwenguKweli mzee,,,weekend vp huko