Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Papa Francis amefuta Biblia Takatifu na amependekeza Kitabu kingine mbadala.
Papa Francis Leo ameushangaza ulimwengu kwa kutangaza kwamba Biblia ni kitabu kilicho pitwa na wakati na yakwamba kinahitaji mabadiliko makubwa, kwahio IMEFUTWA RASMI na umeitishwa mkutano wa wakuu duniani wa kanisa ambapo watajadili na kuamua kitabu kitakacho kuwa mbadala wa Biblia Takatifu, Jina la kitabu na Maudhui yake. Tayari kuna majina yameanza kupata nguvu kama vile "Biblia 2000" n.k.
Akitangaza tamko hili amenukuliwa akisema " Hatuwezi kuendelea kuwahubiria Umma wa wanadamu katika ulimwengu wa kisasa kwa kutumia kitabu (Biblia) ambacho kina umri miaka maelfu.Tunapoteza wafuasi wetu na lazima twende hatua Mbele katika kulifanya kanisa kuwa la kisasa kuendana na wakati wa sasa, kwa kuandika upya neno la Mungu , hata kama itakua ni Agano la kale ambamo baadhi ya Ayasi lazima zirudie tena kuwepo kwenye maandiko haya"
 
Guess what's next
Screenshot_20180927-172023.jpeg
 
Hii hbr sio ya kweli "fake news"

Hbr za asbh prof.
 
Ray C afichua siri ya Wema kuwa Miss TZ, amtaja Mange Kimambi

Licha ya kwamba watu mitandaoni wamelipokea tofauti swala la Wema Sepetu kuomba msamaha mbele ya vyombo vya habari baada ya video yake fupi iliyosambaa akikiss na mwanaume anayeaminika kuwa ni mume wake mtayarajiwa siku kadhaa zilizopita.

Ombi la Wema Sepetu limeonekana kuwa tofauti zaidi kwa msanii mkongwe Ray C kwani yeye ameonyesha kukubali kumsamehe Wema Sepetu kutokana na kosa lake alilolifanya na kuamini kuwa bado anayo nafasi ya kufanya vitu vingine upya.

Kupitia ukurasa wa instagram Ray C ameandika“Nakumbuka 2006 Mange alinipigia Simu akaniambia anakuja nyumbani na mshiriki mmoja atakaeperform wimbo wangu kwenye kipengele cha Vipaji kwenye mashindano ya urembo ya (Miss Indian Ocean)na inabidi tumvalishe kama mimi nikamwambia sawa!walipofika nyumbani

“Kwangu nilimwangalia wema juu mpaka chini na alivyo mrefu,nikamwambia Mange huyu anashinda Miss Tanzania,nakumbuka alikuwa mwembamba,mrembo na mwenye aibu and I was like Wow!!!!Anyway kiufupi Nakupenda mpaka leo Wema,Maisha ni Kama milima!wewe bado ni mdogo sana na una nafasi ya kuwa utakacho!”

“Pamoja na yanayoendelea sasa bado moyo wangu una imani na wewe kuwa utasimama tena zaidi ya juzi jana na leo na Utakua.Never give up!Dunia inaweza kukubadilikia kutoka kuwa kipenzi cha watu na kuwa Public enemy number one!Its normal!!!Its ok!ila kumbuka Familia yako ndio kila kitu!Please usihuzunike ukajiona wewe ndo mkosaji dunia nzima”

“Maana kila binadamu ana majanga yake ni Mungu tu ndio mkamilifu ingawa sio sababu ya kutufanya kurudia makosa over and over again!Nakupenda na nina imani na wewe!Nakutakia kila la kheri katika maisha yako na natamani kumuona Wema Mpya.Lots of [emoji178]@wemasepetu”
 
Papa Francis amefuta Biblia Takatifu na amependekeza Kitabu kingine mbadala.
Papa Francis Leo ameushangaza ulimwengu kwa kutangaza kwamba Biblia ni kitabu kilicho pitwa na wakati na yakwamba kinahitaji mabadiliko makubwa, kwahio IMEFUTWA RASMI na umeitishwa mkutano wa wakuu duniani wa kanisa ambapo watajadili na kuamua kitabu kitakacho kuwa mbadala wa Biblia Takatifu, Jina la kitabu na Maudhui yake. Tayari kuna majina yameanza kupata nguvu kama vile "Biblia 2000" n.k.
Akitangaza tamko hili amenukuliwa akisema " Hatuwezi kuendelea kuwahubiria Umma wa wanadamu katika ulimwengu wa kisasa kwa kutumia kitabu (Biblia) ambacho kina umri miaka maelfu.Tunapoteza wafuasi wetu na lazima twende hatua Mbele katika kulifanya kanisa kuwa la kisasa kuendana na wakati wa sasa, kwa kuandika upya neno la Mungu , hata kama itakua ni Agano la kale ambamo baadhi ya Ayasi lazima zirudie tena kuwepo kwenye maandiko haya"
Yasemekana hizi taarifa ni za uongo
 
Back
Top Bottom