moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Za uongo sana, Papa Francis sidhani kama atakuwa na uwezo wa aina hiyo, acha tusubiriYasemekana hizi taarifa ni za uongo
Za uongo sana, Papa Francis sidhani kama atakuwa na uwezo wa aina hiyo, acha tusubiriYasemekana hizi taarifa ni za uongo
Mkuu biblia haifutiki!!! Inaweza kutafsiriwa au kurekebishwa maneno lakini sio kufuta!! Bila biblia hakuna Papa!!!!Za uongo sana, Papa Francis sidhani kama atakuwa na uwezo wa aina hiyo, acha tusubiri
Ziko wapi hizo like mbna sizioni
[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]Mkuu biblia haifutiki!!! Inaweza kutafsiriwa au kurekebishwa maneno lakini sio kufuta!! Bila biblia hakuna Papa!!!!
Tanzania yetu
Kwa kweli na iwe hivyo milele yote walahiTanzania yenye neemaView attachment 912247 Lake Manyara
Hahahaha
Ni uwongo mtupu walahiNAPATA SHAKA KUAMINI MKUU, UTANIFANYA NITEMBEE SANA KUTAFUTA UKWELI