Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimelizungumzia kwa undani kidogo hapo juu....NAPATA SHAKA KUAMINI MKUU, UTANIFANYA NITEMBEE SANA KUTAFUTA UKWELI
Nafikiri amefanikiwa kujitoa huko,hata ka mwili kamerudi kale ka enzi zake.Ray C anajitambua...
Alifanikiwa kujinasua kutoka kwenye janga la unga?
Wana roho ngumu. Hicho kindege sipandi ng'o !!!
Hongera markWedding is loading.....
Poison...Wale wa vinywaji mpate kidogoView attachment 912687
Moshi jamani karibuniiiHongera mark
Toa ma directions basi tuzamie
OK Kumbe unaakiliPoison...
Hakuna faida hata moja ya kunywa kinywaji hiki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Vyama vinazidi kuongezeka tu:[emoji594][emoji594][emoji594]View attachment 912743
Hongera sana kamanda. Ndoa njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wedding is loading.....
Sante markMoshi jamani karibuniii
Safi sana...Nafikiri amefanikiwa kujitoa huko,hata ka mwili kamerudi kale ka enzi zake.
Na sasa hivi katulia
Asante saana mkuu wangu.Blessings chief.Hongera sana kamanda. Ndoa njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huku kwema kabisa sijui huko ulikoVyama vinazidi kuongezeka tu:
CHAWAMITA
CHAWAVITA
CHAWAPUTA
CHACHAWA
CHACHAWEMA....
Kazi ipo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwema?
Umenichekesha sana kamanda. Eti OK Kumbe una akili [emoji16][emoji16][emoji16]. Kila mmoja wetu ana akili sema tunazidiana tu matumizi yake. Kwema lakini?OK Kumbe unaakili
Basi kinywaji pekee kilichothibitishwa hakina madhara makubwa ni Maji a. k. a Water
Mungu Yungali nasi bado...Huku kwema kabisa sijui huko uliko
Utakwenda?Sante mark
[emoji3] [emoji3] niko poa buyenzeUmenichekesha sana kamanda. Eti OK Kumbe una akili [emoji16][emoji16][emoji16]. Kila mmoja wetu ana akili sema tunazidiana tu matumizi yake. Kwema lakini?
Amin[emoji120][emoji120]Mungu Yungali nasi bado...
Ashukuriwe Yeye daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ningekuwa pande hizo mi ningekuja. Walioko maeneo hayo wajitahidi jamani waende. Tumekuwa kama ndugu katika uzi huu.Moshi jamani karibuniii