[emoji23][emoji23]Mmh!
Ha ha haaa.Nakumbuka siku ya kwanza nimetinga kwa dentist. Nikajaza kwenye kifomu chao kuwa sijawahi kwenda kwa dentist. Acha waitane ofisi nzima "Kamu sii e mani whu hazi neva bin tu e dentisti". Wakapiga makamera yao holaa ngosha hakuna cha cavity wala nini meno yako imara kama chuma cha pua kwa sababu ya ugali mgumu wa Kisukuma, upasuaji wa mifupa na ufunguaji wa soda. Nikawaambia kuwa siye tunakwendaga kwa dentisti kama jino linakuuma na siyo huu "umama" wa kwenda kusafishwa meno kila baada ya miezi sita. Basi wakanisafisha safisha hapo huyooo nikajitoa zangu. Ofu kozi wakanibebesha na haya maflosi unayoyasema...Nachekaga nikikumbuka [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahah bana. Ila wazungu wanaonaga waafrika wa ajabu kwa kutofuata mashikolo yaoNakumbuka siku ya kwanza nimetinga kwa dentist. Nikajaza kwenye kifomu chao kuwa sijawahi kwenda kwa dentist. Acha waitane ofisi nzima "Kamu sii e mani whu hazi neva bin tu e dentisti". Wakapiga makamera yao holaa ngosha hakuna cha cavity wala nini meno yako imara kama chuma cha pua kwa sababu ya ugali mgumu wa Kisukuma, upasuaji wa mifupa na ufunguaji wa soda. Nikawaambia kuwa siye tunakwendaga kwa dentisti kama jino linakuuma na siyo huu "umama" wa kwenda kusafishwa meno kila baada ya miezi sita. Basi wakanisafisha safisha hapo huyooo nikajitoa zangu. Ofu kozi wakanibebesha na haya maflosi unayoyasema...Nachekaga nikikumbuka [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiri kuzamia harusi yako
Jipange mapema mzee baba,,,lazma nizamie hyo harusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]