carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Napenda sana kuzamia harusi za watu hasa ambazo ndafu haikosekani[emoji23][emoji23][emoji23]Utakwenda?
Napenda sana kuzamia harusi za watu hasa ambazo ndafu haikosekani[emoji23][emoji23][emoji23]Utakwenda?
HahahaaaaUtakwenda?
Ndafu zipoo karibu sanaaNapenda sana kuzamia harusi za watu hasa ambazo ndafu haikosekani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana. Duniani hapa ni kuzidiana akili japo kila mmoja anazo. Mimi nikitengeneza sigara na nikaandika kwenye paketi kuwa sigara hii utakayovuta inaweza kukuletea kansa ya mapafu huko mbele ya safari; na wewe bado ukainunua na kuivuta hapo nimekuzidi akili. Mifumo karibu yote inayoendesha dunia hii imesimikwa katika dhana hii ya kuzidiana akili. Mwanasiasa lazima amzidi akili mpiga kura wake. Mfanyabiashara lazima amzidi akili mteja wake. Ili upewe mbunye lazima umzidi akili demu wako...[emoji3] [emoji3] niko poa buyenze
Kwa hiyo wanaotengeneza na wanaokunywa hivi vinywaji hawana akili kabisa
[emoji3] [emoji3] nimekupata mkuuHapana. Duniani hapa ni kuzidiana akili japo kila mmoja anazo. Mimi nikitengeneza sigara na nikaandika kwenye paketi kuwa sigara hii utakayovuta inaweza kukuletea kansa ya mapafu huko mbele ya safari; na wewe bado ukainunua na kuivuta hapo nimekuzidi akili. Mifumo karibu yote inayoendesha dunia hii imesimikwa katika dhana hii ya kuzidiana akili. Mwanasiasa lazima amzidi akili mpiga kura wake. Mfanyabiashara lazima amzidi akili mteja wake. Ili upewe mbunye lazima umzidi akili demu wako...
Ndiyo maana JK alikuwa akituhubiria mara nyingi kuwa "akili za kuambiwa always changanya na zako" [emoji16][emoji16][emoji16]
Nakumbuka siku ya kwanza nimetinga kwa dentist. Nikajaza kwenye kifomu chao kuwa sijawahi kwenda kwa dentist. Acha waitane ofisi nzima "Kamu sii e mani whu hazi neva bin tu e dentisti". Wakapiga makamera yao holaa ngosha hakuna cha cavity wala nini meno yako imara kama chuma cha pua kwa sababu ya ugali mgumu wa Kisukuma, upasuaji wa mifupa na ufunguaji wa soda. Nikawaambia kuwa siye tunakwendaga kwa dentisti kama jino linakuuma na siyo huu "umama" wa kwenda kusafishwa meno kila baada ya miezi sita. Basi wakanisafisha safisha hapo huyooo nikajitoa zangu. Ofu kozi wakanibebesha na haya maflosi unayoyasema...Nachekaga nikikumbuka [emoji16][emoji16][emoji16]Flosi jino moja kwa wakati mmoja. Jiridhishe kwa ukamilifu ulioufanya kwenye jino la kwanza kabla hujahamia la pili. Flosi taratibu kwa kusugua kwenye jino kwa kwenda juu na kushuka chini.
Hakika ni uongoNi uwongo mtupu walahi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Miti ya ubuyu.
Wapenda ubuyu wako wapi?
Yasemekana hizi taarifa ni za uongo
NAPATA SHAKA KUAMINI MKUU, UTANIFANYA NITEMBEE SANA KUTAFUTA UKWELI
Kuna makala nimesoma wanadai huu uongo umetokana na fiction website ambao hbr zao nyingi ni za kufikirika.Watu bila kujua kuwa ni fiction wakaanza kusambaza kana kwamba ni kweli.Za uongo sana, Papa Francis sidhani kama atakuwa na uwezo wa aina hiyo, acha tusubiri
Nasubiri kuzamia harusi yakoNapenda sana kuzamia harusi za watu hasa ambazo ndafu haikosekani[emoji23][emoji23][emoji23]