Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji116]
IMG-20180917-WA0048.jpg
 
Wazee wa Dar...
Haishangazi JIWE kaamua kuwapotezea siyo kama zamani kila mara utasikia leo mkulu ataongea na wazee wa Dalisalama.

Kwakweli ngosha hatumuelewi, tulikua mara kwa mara tunaitwa Diomond Jubilee tukaongee na Mukulu lakini Ngosha katupoteza[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Kujitoa CHAPUTA inahitaji nguvu za ziada, ni sawa na kujitoa uzi wa likes[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ila huu uzi nao aisee ni shida...
Mtu ukijaribu kujitoa unapata withdrawal symptoms kama za waraibu wa unga...
Kiherehere balaa na hata kama ulikuwa umeidelete app aisee mwenyewe utakwenda app store na kuipakua upya.
Shwaini kabisa uzi huu haki ya nani !!!
 
Back
Top Bottom