Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shilingi milioni 45,817,013.81 ($20,000) hutumika kwa siku moja tu kumlinda muasisi wa Facebook Mark Zuckerberg. Inatajwa bajeti ya $7,326,640 (Sh 16,782,594,507) imetengwa kwa ajili ya ulinzi wa Zuckerberg na familia yake kwa mwaka


 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi una uaddicted flan hv
 
Matumizi halali kabisa kwa sababu likitokea la kutokea shares zinaweza kuporomoka na kuteketeza mabilioni ya dola kwa siku moja tu. Walinzi hao utakuwa ni ex navy seals na black ops....
 
Hahahahahaha[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] uzi una arosto za hatari[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Makomando wanaenda naye sambamba, mbali ya kuitamani sana pesa, lakini mambo ya kulindana lindana nayo hayana mana hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…