Asalaam Alyeiqum100% true
Nna mwaka sijaamkiwa salaamu ya heshima..."marahaba binti"Wakubwa shkamooni
Mombasa mkuuHii Tanga
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Nna mwaka sijaamkiwa salaamu ya heshima..."marahaba binti"
Nna mwaka sijaamkiwa salaamu ya heshima..."marahaba binti"
Asalaam Alyeiqum
Watoto wa siku izi hawana adabu [emoji853]
Waalayka salam kaka angu mpendwa Vipi hali yako.
Hahaha[emoji16] [emoji16] [emoji16] imekuwaje tena